Wednesday, December 09, 2015

NHIF YAADHIMISHA 9 DESEMBA KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA


????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Michael Mhando akikabidhi mashuka  100 kwa Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road baada ya kuwaongoza watumishi wa mfuko NHIF kwa  kufanya usafi maeneo yanayozunguka makao makuu ya Mfuko na hatimaye kutoa mashuka 100 kwa jeshi la Polisi
????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Michael Mhando akishiriki kufanya usafi pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa NHIF  kuzunguka maeneo ya majengo ya mfuko hu.
????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Michael Mhando akiwaelekeza wafanyakazi wa NHIF mahali pengine ambapo panatakiwa kufanyiwa usafi.
????????????????????????????????????
Wafanyakazi hao wakiendelea na kazi ya kuzoa taka.
????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Michael Mhando wa pili kutoka kushoto akiongozana na maofisa wa shirika hilo kuelekea ofisini baada ya kumalizika leo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wafanyakazi wakiendelea ksafisha mitaro.
????????????????????????????????????
Post a Comment