Monday, December 14, 2015

NAPE AAHIDI KUTOA USHIRIKIANO KWA WANAHABARI NA WADAU WAKE

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa ofisini kwake .
 Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura akiwasalimu Viongozi, Wakuu wa Idara kwenye kikao cha kwanza ambapo aliwataka kuzingatia kazi na kuzifanya kwa ufanisi.
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Wakurugenzi na Viongozi wa Idara mbali mbali walio chini ya Wizara yake .
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akizungumza na Wakurugenzi na Viongozi wa Idara mbali mbali walio chini
ya Wizara yake ambapo aliwaambia kuwa atashirikiana nao katika kufanikisha yale yatakayowezesha tasnia ya habari, michezo , utamaduni na sanaa na sanaa kukua.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akizungumza na Wakurugenzi na Viongozi wa Idara mbali mbali walio chini
ya Wizara yake ambapo aliwaambia kuwa atasimamia haki za wasanii zinapatikana na hatokuwa na huruma na wale wanaokwamisha au kudhulumu kazi za wasanii. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Post a Comment