Friday, August 31, 2018

NHC KUJENGA NYUMBA 25 ZA WATUMISHI KILIMANJARO

Patrick Mwakasungura akisaini kitabu cha wageni wakati ujumbe wa NHC ulipowasili ofisini kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Mawenzi Mjini Moshi kwa ukaguzi wa maeneo yanayotarajiwa kujengwa nyumba za watumishi. 
Kaimu mkuu wa shule ya sekondari Mawenzi na Meneja wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Juma Kiaramba wakimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi walipofika shuleni hapo kwa ukaguzi wa maeneo ya ujenzi. 

Kikao cha pamoja kati ya maofisa wa NHC wakiongozwa na Patrick Mwakasungura na team ya Mkoa wa Kilimanjaro  wakiwa kwenye kikao na uongozi wa manispaa ya Moshi. 

KAIMU MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA:TUTAKAMILISHA MIRADI YOTE 38

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza katika kikao chake na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika kikao cha Mkurugenzi Mkuu cha mwaka ambacho hufanyika mara mbili kwa Mwaka. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Sehemu ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliokuwa wakifuatilia kikao hicho jana. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza katika kikao chake na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika kikao cha Mkurugenzi Mkuu cha mwaka ambacho hufanyika mara mbili kwa Mwaka.
Sehemu ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliokuwa wakifuatilia kikao hicho jana. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Sehemu ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliokuwa wakifuatilia kikao hicho jana. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kuwashukuru na kuwaaga. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Sehemu ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliokuwa wakifuatilia kikao hicho jana. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Migodi, Nishati, Ujenzi na kazi nyinginezo (TAMICO) tawi la NHC, Lilian Reuben akizungumza na wafanyakazi katika kikao hicho cha Mkurugenzi Mkuu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza katika kikao chake na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika kikao cha Mkurugenzi Mkuu cha mwaka ambacho hufanyika mara mbili kwa Mwaka. Katika Kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mkuu alizungumzia hali ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na vipaumbele vyake katika mwaka huu wa fedha pamoja na kukumbushana baadhi ya mambo yanayotokea ndani ya Shirika.

Wednesday, August 29, 2018

NAIBU WAZIRI MABULA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA UJENZI INAYOFANYWA NA NHC JIJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ageline Mabula akiangalia ramani ya nyumba za makazi za awamu ya pili za Iyumbu jana. Naibu Waziri Mabula amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Ujenzi wa Nyumba inayofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma. wanaomuonyesha ramani hiyo ni Hassan Bendera wa NHC Dodoma na Jaffar Chege wa NHC Dodoma.

Hassan Bendera wa NHC Dodoma, Hassan Bendera akimwelekeza jambo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ageline Mabula eneo la ujenzi la Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini ERB unaokaribia kukamilika. Ujenzi wa Ukuta wa ERB unafanya na Shirika la Nyumba la Taifa ambapo pia Naibu Waziri Mabula amefanya ziara jana jijini Dodoma. 

Mafundi wanaokarabati jengo la abiria la Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakiendelea na uwekeji wa Gypsum Boards katika jengo hilo ukarabati wa jengo hilo unafanywa na Shirika la Nyumba la Taifa ambapo pia Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mabula amefanya ziara ya ukaguzi mradi huo jijini Dodoma jana. 

Tuesday, August 28, 2018

SERIKALI KUONDOA KABISA MFUMO WA KIZAMANI WA MALIPO YA KODI

Mwakilishi wa Mfumo wa Malipo ya Kidijitali wa Serikali- Government Electronic Payment (GePG), Basil Baligumya akitoa semina kwa Menejimenti na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa  juu ya namna mfumo huo unavyofanya kazi  ambapo alisema Serikali imekusudia kuondoa kabisa mfumo wa kizamani wa malipo ya kodi za Serikali na kujikita katika mfumo huo wa kidijitali na kwamba hadi sasa taasisi za serikali takribani 260 zimejisajili kwenye mfumo huo ikiwemo Halmashauri, Brela, Tanesco, Dawasco na nyinginezo.

Mfumo huo wa serikali kwa ajili ya kulipia huduma zote za serikali, kumrahisishia mwananchi kulipa kupitia mitandao ya simu, unatengeneza namna ambayo inafanana katika kulipia huduma zote za serikali kwa taasisi zilizounganishwa ikiwemo halmashauri, huduma za umeme, maji. 

Mwakilishi wa Mfumo wa Malipo ya Kidijitali wa Serikali- Government Electronic Payment (GePG), Basil Baligumya akiendelea na semina juu ya mfumo huo unavyofanya kazi. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Manyama Maagi.
 Menejimenti na Maofisa mbalimbali wa Shirika la Nyumba la Taifa wakijifunza jinsi ya kutumia Mfumo wa GePG katika malipo ya Kodi za Serikali.
 
Monday, August 20, 2018

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU EDITH NGURUWE ALIYEKUWA AFISA MAWASILIANO WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

 Bi Edith Nguruwe enzi za uhai wake 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza kwa niaba ya Shirika kwenye msiba wa Marehemu Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018.
Mwili wa Marehemu Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu ukibebwa kufikishwa makaburi ya Kinondoni jijini Daer es Salaam. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018 na kuzikwa leo Agosti 20, 2018.
 Bi Edith Nguruwe enzi za uhai wake.  
Mmoja wa ndugu wa Marehemu akisoma wasifu wa marehemu Edith aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni.

Baadhi ya waombolezaji waliokuwapo kwenye msiba wa Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018 na akazikwa Jumatatu Agosti 20,2018.

Tuesday, August 14, 2018

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA KATIKA ENEO LA SAFARI CITY

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiwasili katika eneo la Mtradi wa Safari City jijini Arusha.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiongozana na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, Ladislaus Bamanyisa na Afisa Mauzo na Masoko wa NHC, Neema Mapunda wakati akitembelea nyumba za mfano za Safari City jijini Arusha jana akiwa katika ziara hiyo Waziri Lukuvi  amelitaka Shirika  kuongeza juhudi za kuutangaza mradi pia kutumia ujenzi wa barabara ya East Afrika inayopita katika mradi wa safari city kama sehemu ya matangazo au kivutio cha mradi huo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Arusha alipotembelea mradi wa Safari City. 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, Ladislaus Bamanyisa na Afisa Mauzo na Masoko wa NHC, Neema Mapunda wakati akitembelea nyumba za mfano za Safari City jijini Arusha jana.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiangalia michoro ya mradi wa Safari City akiongozana na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, Ladislaus Bamanyisa wakati akitembelea nyumba za mfano za Safari City jijini Arusha jana.

Tuesday, August 07, 2018

KAIMU MKURUGENZI MKUU AFANYA ZIARA MAKAO MAKUU DODOMA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwa katika picha ya pamoja na uongozi na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Dodoma wakati Kaimu Mkurugenzi Mkuu alipowasili mkoani humo kwa masuala mbalimbali ya kikazi.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LATOA ELIMU NANE NANE NYAKABINDI, SIMIYU

 Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Aika Swai akiwaelekeza jambo kwa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Jason Ipyana akitoa maelezo kwa mmoja wa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.

 Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Rhobi Wambura akiwaelekeza jambo kwa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.

 Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Joseph John katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka

Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (watatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa juu wa mkoa baada ya kuzuru viwanja vilivyotengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu eneo la Katenga - Isanga wilayani Bariadi. Kusoto ni MC Peter Mavunde ambaye ni mzee maarufu sana nchini na wa pili kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL), Waziri Kindamba.Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (watatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa juu wa mkoa baada ya kuzuru viwanja vilivyotengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu eneo la Katenga - Isanga wilayani Bariadi. Kusoto ni MC Peter Mavunde ambaye ni mzee maarufu sana nchini na wa pili kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL), Waziri Kindamba.