Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwapungia wakimbizi kutoka Burundi wakati alipotembelea kambi ya Nyarugusu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo ambayo imepewa jina lake, Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa amekalia dawati katika moja ya madarasa ya Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta ambayo imepewa jina lake . Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo Desemba 29, 2015. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, Bw. Frederick Nisajile shilingi milioni 2 zikiwa ni mchango wa kusaidia programu ya upandaji miti kwenye maeneo yanayozunguka kambi hiyo. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Comments