Tuesday, December 15, 2015

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA AFYA

1
Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu kushoto akiongozana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Khamis Kigwangala huku Katibu Mkuu wa wizara hiyo Donan Mbando akiwafiuata kwa nyuma mara mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya NIMR kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto ulioanza leo jijini Dar es salaam ukijadili mambo mbalimbali ikiwemo ya utekelezaji wa wizara hiyo na changamoto ninazoikabili pamoja na kujadili maadili ya utendaji wa kazi kwa watumishi wa afya na  bajeti ya mwaka 2015-2016.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE)
2
Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika ukumbi wa mikutano wa Taaisi ya Utafiti ya wa Magonjwa ya NIMR jijini Dar es salaam, Katikati ni Dk. Khamis Kigwangala Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamii,  Jinsia , Wazee na Watoto na kushoto ni Katibu wa Baraza hilo Bi.Mary Ntira.
3
Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia , Wazee na Watoto  , kushoto ni Dk. Khamis Kigwangala Naibu Waziri wa wizara hiyo na kulia ni Katibu Mkuu DK. Donan Mbando.
4
Dk. Khamis Kigwangala Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamii,  Jinsia , Wazee na Watoto  akijitambulisha kwa wajumbe wa baraza hilo huku Waziri Ummy Mwalimu akipitia hotuba yake kabla ya kuwahutubia wajumbe, kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Donan Mbando.
5
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Donan Mbando akimkaribisha Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na watoto katikati ili kuzungumza na wajumbe wa baraza kuufungua rasmi mkutano huo,  wa pili kutoka kushoto ni Dk. Khamis Kigwangala Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto na mwisho ni Mary Ntira Katibu  wa Baraza.
6
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Donan Mbando kutoka kulia , Ummy Mwalimu  Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na watoto, Dk. Khamis Kigwangala Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto na Mary Ntira Katibu wa Baraza wakishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo. 
7
Baadhi ya wajumbe wakiimba wimbo huo kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
89
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.
1011
Ummy Mwalimu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na watoto, Dk. Khamis Kigwangala Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamiin , Jinsia , Wazee na Watoto pamoja na wajumbe wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
Post a Comment