SEDUTA HOTEL ni kiota kipya cha maraha kilichopo Mbezi Beach, Salasala jijini Dar es Salaam. Ukiwa Seduta hutadhani kama upo ndani ya jiji la Dar es Salaam kwani ni mahali tulivu panapoweza kukupa liwazo na kukuondolea kabisa msongo wa mawazo.
Ni sehemu tulivu kwa mapumziko kwa kipindi hiki cha siku Kuu za Christmas na New Year kwa mtu mmoja au wapendano, lakini ni chaguo sahihi kwa fungate, Chakulacha jioni wewe na familia na kubwa zaidi ni sehemu mwanana kwaajili yako wewe mgeni mwenye shughuli Bagamoyo mkoani Pwani au hata katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Hotel Information
Suites,Executive Rooms, Deluxe Rooms, Standard Rooms & Single Rooms
SEDUTA HOTEL LTD OFFERS LUXURY REMARKABBLE SERVISE AND UNLIMITEDCOMFORT.
Hotel Information
Suites,Executive Rooms, Deluxe Rooms, Standard Rooms & Single Rooms
Large Conference Facilities & evening Entertainment
Wireless Internet Access.
ROOM FACILITIES
24.Hours Room Services Laundry And Dry Cleaning Services
Air Condition, Flat screen Tv,s with satellite Tv Channel, Wireless Internet Access,Mini bar, Tea/Coffee Making Facility
BARS & Restaurant
1.Main Restaurant
2 Main bar And garden Bar.
\
Mawasiliano zaidi:-
Mawasiliano zaidi:-
SEDUTA HOTEL LTD
MBEZI BEACH, SALASALA
P.O. BOX 6441, DAR ES SALAAM
HOTELINE: +255 767 210 210
+255 715 056 060
+255 684 626 414
EMAIL: info@sedutahotel.co.tz
WEBSITE: www.sedutahotel.co.tz
Pia ni sehemu nzuri kwa tafrija mbalimbali.
Bustani nzuri kwa mapumziko zina kusubiri wewe mteja.
Madhari safi sehemu ya kupata mlo au kifungua kinywa.
Vyumba vizuri na nadhifu kwaajili ya kukupa usingizi tulivu na kupata njozi safi na si za mauza uza, kwa garama hizo hapo chini.
Comments