Tuesday, December 29, 2015

NAIBU WAZIRI MH. ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA IDARA YA HABARI MAELEZO

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto ni Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
it2
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idara hapo leo, kushoto ni Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
it3
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
it4
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya kuwaelimisha wasanii, anayemkabidhi ni Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
it5
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo juu ya utendaji kazi wa Bodi Hiyo wakati Mh. Waziri alipofanya ziara katika Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
it6
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo kulia akimuonyesha takwimu mbalimbali za sekta ya filamu Mh. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura zinazohusu sekta ya filamu wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Naibu Waziri katika bodi hiyo. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Post a Comment