Saturday, December 19, 2015

MAJALIWA AKAGUA MRADI WA UDART

   9192
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua kituo cha mabasi yaendayo haraka UDART cha Kimara jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
939495
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua eneo la karakana ya  mabasi yaendayo haraka UDART iliyopo enero la Jangwani jijini Dar es salaam  wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.
  97
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya basi la Mradi wa Mabasi yaendayo haraka UDART kwenye kituo cha Feri jijini Dar es salaam    wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.
9899
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Watendaji wa Mradi wa Mabasi yaendeyo haraka UDART ofisini kwake kabla ya kufanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.Kulia Kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Utumishi  na Utawala Bora, George Siumbachawene.
Post a Comment