Monday, December 14, 2015

OMARY KIGODA ASHINDA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI

Mgombea Ubunge jimbo la Handeni kupitia CCM Omary Abdallah Kigoda ameibuka mshindi kwa kupata kura 10,315
Shundi Aidan CUF 2415
Daud lusewa CHADEMA 648
Doyo hassani ADC 184
Makame bakari TLP 19
Bakari Mhina AFP 6

No comments:

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...