Saturday, December 12, 2015

RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI WAKE, AWAKABIDHI RASMI KIBARUA KIGUMU CHA KULETA MAENDELEO

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi kweye ukumbi wa mikutano wa Ikulu leo jijini Dar es salaam ambapo mawaziri mbalimbali wameapa kutumikia watanzania kwa miaka mitano ijayo ya uongozi wa Dk. John Pombe Magufuli, wa tatu kutoka kulia ni Balozi Ombeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi.(PICHA NA JOHN BUKUKU-IKULU DAR ES SALAAM)
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi Ikulu leo.
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi  Waziri wa . na Umwagiliaji Mh Makame Mbarawa Ikulu leo.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Harrison Mwakyembe Ikulu jijini Dar es salaam leo.
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Nishati na Madini Mh. Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo Ikulu leo.
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mh. Charles Kitwanga kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
7
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ummy Mwalimu waziri wa   Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto 
8
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli  akimuapisha January Makamba kuwa waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Ikulu leo.
9
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Waziri wa Ofisi ya Raisi Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angela Kairuki ikulu leo.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Kilimo Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ikulu.
11
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Agustine Mahiga kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.
12
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu.
13
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kumuapisha Ikulu leo. 
14
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Anthony Mavunde kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,Ajira, Vijana na Walemavu Ikulu leo.
15
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi Vitendea kazi Mh. Khamis Kigwangala mara baada ya kumwapisha kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto.
16
Kutoka kulia Makamu wa Rais Mh. Samia  Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Chande, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson Mwansasu na Mke wa Rais Mama Janet Magufuli wakishuhudia wakati mawaziri wakiapishwa ikulu leo.
17
Kutoka kulia Makamu wa Rais Mh. Samia  Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Chande, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju wakishuhudia kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri.
18
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mh. Suleiman Jafo mara baada ya kumuapisha kwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora Ikukulu leo. 
19
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk Meldadi Kalemani Kuwa Naibu Waziri Nishati na Madini.
20
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimmuapisha Dk. Abdallah Possi kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu , Sera,  Bunge, Kazi , Ajira, Vijana na Walemavu.
21
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu leo.
22
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu leo.
24
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM  Ndugu Abdallah Bulembo.
25
Baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wakiwa katika hafla ya hiyo.
26
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiondoka ukumbini mara baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri Ikulu leo.
27
Mh. Nape Nnauye  Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu akihojiwa na mwandishi wa habari wa TBC1 mara baada ua kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.
29
Mrs Rhobi Nape Nnauye akiwa ni miongozi mwa wageni waalikwa ili kushuhudia Mumewe Mh. Nape Nnauye akila Kiapo kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo leo  Ikulu jijini Dar es salaam.
30
Kutoka Kushoto ni Waheshimiwa Mawaziri Januari Makamba, Ummy Mwalimu, Charles Kitwanga, Sospeter Mwijarubi Muhongo na Mh. Jenista Muhagama mara baada ya kula kiapo
Post a Comment