Thursday, December 17, 2015

PROF. ELISANTE OLE GABRIELAZUNGUMZA NA WADHAMINI WALIODHAMINI SIKU YA MSANII DUNIANI

CO1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wadhamini kutoka kampuni mbalimbali waliodhamini Siku ya Msanii Duniani iliyofanyika hivi karibuni.
CO2
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na wadhamini kutoka kampuni mbalimbali waliodhamini Siku ya Msanii Duniani iliyofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi  Sanaa Bi. Lear Kihimbi.
CO3
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Bwana Hamid Abdulrahman kutoka Channel Ten moja kati ya kampuni iliyodhamini siku ya msanii duniani
CO4
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya African Media Group Limited Bi Resty Ngonyani  moja kati ya wadhamini wa siku ya msanii duniani.
CO5
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa pili kutoka kushoto akimkabidhi Cheti moja ya wadhamini waliodhamini Siku ya Msanii Duniani kutoka Habari Corparation iliyofanyika hivi karibuni kutoka Habari Corporation

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...