Monday, December 14, 2015

MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si2
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si3
Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya kuwasili ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
si4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (wapili kushoto)  akishuhudia wakati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wapili kulia ) na  Dkt. Abdallah Possi(kulia) wakipokea maua kutoka kwa Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Tina Ambros (kushoto) baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
si5
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si6

si8

si9
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015 baada ya kuwasili ofisini kuanza kazi . Kushoto ni Naibu Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Turuka (kabla ya kuwapokea Waziri na Naibu Mawaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si11
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si12
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si13
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Abdallah Possi   wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Wapili kushoto  ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama  na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si14
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama  (wapili kushoto), na Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi  (wapili kulia)  na Anthony Mavunde (kulia) baada ya kuwakabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakati waliporipoti Ofisini kwa Waziri Mkuu kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si15
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (katikati), Naibu Mawaziri Dkt. Abdallah Possi (kulia) na Anthony Mavunde (wapili kulia)) baada ya mawaziri hao kuripoti  Ofisini kwake kuanza kazi Desemba 14, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt, Florence Turuka, Wanne kushoto ni katibu Mkuu Kazi na Ajira, Eric Shitindi na watatu kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
si16
Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama  (kushoto) na Naibu Mawaziri, Dkt. Abdallah Possi (Wapili kulia) na Anthony Mavunde (kulia) baada ya Waziri huyo na Manaibu wake  kuripoti Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: