Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafamilia wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015.
Comments