Waziri kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Paulo Joseph baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Issa Ngele baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Narungombe wilayani Ruangwa Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments