Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa baada ya kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Pius Tibazarwa na Mkurugenzi wa Ubunifu, Issack Peter wa Shirika la Nyumba la Taifa wakati wa mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Ujumbe wa wa Jeshi la Magereza nchini ulioongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na timu ya NHC katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Majadiliano yakiendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
*WATAFITI WA MIMEA VAMIZI WATUA SERENGETI
Na Sixmund Begashe - Serengeti Ziara ya kikazi ya watafiti wa mimea vamizi kutoka Jamhuri ya Cuba walioungana na wataalam wa ikolojia kutok...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Kwa wale waliokulia maeneo haya, hili ni jambo la kawaida ukitoka mjini, shambani sijui hadi wapi kote ni haya h...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
1 comment:
check my blog replica bags china Our site replica bags from china imp source Louis Vuitton replica Bags
Post a Comment