Friday, December 25, 2015

KAMPUNI YA TIGO YATOA MISAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA MUGEZA MSETO MANISPAA YA BUKOBA


Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada
mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto Yatima cha Mugeza
Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa
misaada kwenye kituo hicho


Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada
mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto Yatima cha Mugeza
Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa
misaada kwenye kituo hicho
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akiongea na
wanahabari,viongozi  na watoto wa kituo
cha kulelea watoto Yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba.
Meneja wa Mauzo Mkoa wa Kagera, Sadoki Phares akiongea na wanahabari,
viongozi na  watoto wa kituo cha kulelea
watoto Yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba.
Meneja wa
Huduma kwa Wateja wa Tigo Kanda ya Ziwa, Beatrice Kinabo(kushoto) na Meneja wa
Duka la Tigo Bukuba, Lilian Mwise (aliyebeba mtoto).
Watoto wa Kituo cha kulelea watoto cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba
wakifuatilia kwa makini.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akitembea na watoto wa
kituo cha Mugeza mara baada ya kukabidhi misaada.
A
Watoto wa Kituo
cha kulelea watoto cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba wakifuatilia kwa makini.

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...