Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Machibya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Machibya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua wakati alipozindua soko na mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkazi wa Kigoma mjini akionyesha bango katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye soko la samaki la Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kifaa kinachotumiwa na wahalifu kutengeneza risasi za bunduki aina ya goboli wakati alipokagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi mkoani Kigoma na kuhifadhiwa kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipowahutubia mjini Kigoma Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipowahutubia mjini Kigoma Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na watumishi wa serikari Kuu na Serikali za Mitaa mjini Kigoma Desema 28, 2015. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments