Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla iliyofanyika kwemye mkutano mkuu wa TAHOSSA jijini Mwanza.
Mgeni rasmi akiwaonyesha wakuu wa shule nchini (hawapo pichani) kamusi kuu ya kiswahili aliyoizindua, kushoto ni muhariri mkuu wa kamusi hiyo James Mwilaria
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Longhorn Publishers Ltd.
Meneja mauzo na msimamizi wa matangazo wa Longhorn Publishers Ltd Deisy Rono akimuonesha mgeni rasmi baadhi ya machaisho yao.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikagua moja ya kitabu cha civics kilichochapishwa na Longhorn Publishers Ltd mara baada ya
kutembelea banda lao.
kutembelea banda lao.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza akipokea zawadi ya baadhi ya machapisho kutoka kwa mwakilishi wa Longhorn Publishers Limited.
Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka BAKITA, Longhorn Publishers na TAHOSSA.
Comments