Thursday, December 10, 2015

MKUU WA MAJESHI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE NA MKUU WA BRIGEDI YA CHUI BRIGEDIA JENERALI SHARIF OTHMAN WAKISHIRIKI KUFANYA USAFI MAADHIMISHO YA UHURU

17251e86-84ab-450c-b736-78ef7de38e42
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), Mkuu wa Brigedi ya Chui Brigedia Jenerali Sharif Othman(kushoto) pamoja na Maafisa na Askari wakishiriki zoezi la usafi katika kambi ya Lugalo, jijini Dar es Salaami wakati wa  kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru kama alivyoagiza Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
Post a Comment