Thursday, December 10, 2015

HAPA KAZI TU WANANCHI WATEKELEZA AGIZO LA RAIS

so1
Wasanii wa bongo movie wakishiri kufanya usafi 
katika eneo la mnara wa askari makutano ya barabara ya Samora na Azikiwe jijini Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
so2
Wasanii wa bongo movie wakishiri kufanya usafi 
katika eneo la mnara wa askari makutano ya barabara ya Samora na Azikiwe jijini Dar es Salaam.
so3
Mbunge wa jimbo la Ilala,Mhe. Mussa Azzan Zungu , akihojiwa na waandishi wa habari wakati aliposhiriki siku ya usafi kitaifa, katika eneo la mnara wa askari makutano ya barabara ya Samora na Azikiwe jijini Dar es Salaam .
so4
Wasanii  wa Bongo Muvie,  wakishiriki kupakia taka kwenye gari lenye namba za usajili Su 39012 mali ya shirika la Nyumba Taifa NHC katika eneo la Posta jijini Dar es Salaam.
so5
Wauza matunda wakiendelea na biashara hiyo mtaa wa Zanaki jijini Dar es Salaam.
so6
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Temeke wakifanya usafi katika dampo lililopo Mwembe yanga ambalo limekuwa kero kwa wakazi wake kutokana na kutoa harufu kali na kupelekea wasiwasi wa wakazi kupata ugonjwa wa kipindupinndu kama walivyokutwa na kamera yetu jijini Dar es Salaam leo.
so8
Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha madawa ya binadamu, bohari kuu, wakifanya usafi wa mazingira kandokando mwa jengo hilo kama walivyonaswa na kamera yetu jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Post a Comment