Wednesday, September 09, 2015

MKURUGENZI MKUU AFUNGUA MAFUNZO YA SAIKOLOJIA NA USHAURI NASAHA MAHALA PA KAZI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba, Nehemia Mchechu akizungumza na Mameneja na maafisa wandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa jana wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya kuhusiana na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi.

Dk Mackenzie wa NHC akizungumza na Mameneja na maafisa wandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa jana kabla ya kufunguliwa kwa mafunzo ya siku mbili ya kuhusiana na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi.
 Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasihi  nchini akitoa mada kwa Mameneja na maafisa wandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa jana wakati ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya kuhusiana na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi.

Mameneja na maafisa wandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza mada kwenye mafunzo ya siku mbili ya kuhusiana na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi.

No comments: