Saturday, September 26, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA UJERUMANI ANGELA MERKEL JIJINI NEW YORK

 unnamedg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UN General Assembly.
(Picha na Freddy Maro)
unnamed
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UN General Assembly.

No comments:

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...