MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani
kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa
Kusini mkoani Lindi.
(Na Mpigapicha Wetu)
 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji
akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya
chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa

akiwaaga  wananchi baada ya kumaliza

Comments