Thursday, September 24, 2015

CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA


 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya matokeo ya  utafiti wa Twaweza na nafasi ya Mgombea wa Urais wa chama cha (ACT)Wazalendo licha ya kuonesha hali hiyo sisi (ACT) wazalendo tunafarijika na matokeo ameyasema hayo katika mkutano huo uli0fanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama  hicho jijini Dar es Salaam kulia ni Mjumbe wa kamati ya uchaguzi, Emmanuel Mvule.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara jijini Dar es Salam .(Picha na Emmanuel Massaka)
Post a Comment