Monday, September 14, 2015

VIONGOZI WA DINI NA WASISA WAUNGANA NA JESHI LA POLISI HAPA NCHINI KUJADILI AMANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza katika mkutano wa kujadili Amani  baina ya viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na jeshi la Polisi mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya viongozi wa Siasa na viongozi wa dini waliohudhulia katika mkutano huo.
Mkuruenzi wa kitengo cha Sayansi ya Siasa na Uongozi wa umma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),John Jingu akichangia maada katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Post a Comment