Thursday, September 24, 2015

MH CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA AKIWA KWENYE MATIBABU


Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Celina Ompeshi Kombani amefariki dunia jioni hii huko India .

Mh Celina Kombani alikua ni mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tutaendelea kuwajuza zaidi kadri taarifa zinavyotufikia

Lukaza Blog inatoa pole kwa Familia na Taifa kwa Ujumla
Post a Comment