Thursday, September 17, 2015

DK.ALI MOHAMED SHEIN KATIKA JIMBO LA MKANYAGENI LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Black wizard Chokocho jimbo la uchaguzi la Mkoani Wilaya ya Mkoani Pemba,
PICHA ZOTE NA IKULU.
8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Wananchi na Wanachama wa CCM jimbo la Mkanyageni katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira  Black wizard leo Chokocho,
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Mohamed Ijaza Jecha Jimbo la Mtambile  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira  Black wizard Chokocho.
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Ubunge Prof.MAKAME mbarawa Mnyaa Jimbo la MKANYAGENI Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira  Black wizard Chokocho.
7
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM NEC na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa CCM katika mkutano wa hadhara wa Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati Mgombea Urais wa Zanzibar  Dk.Ali Mohamed Shein  akitangaza sera zake wakati wa Mkutano wa Hadhara  wa Kampeni za katika jimbo hilo.
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akiwatambulisha wagombea Udiwani wa Majimbo ya Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira  Black wizard Chokocho.
  6 
5
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika mkutano wa Kampeni za CCM katika Wialaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,zilizofanyika leo katika uwanja wa Black Wizard na kuhutubiwa na  Mgombea Urais kwa kipindi cha pili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments: