MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AVUNJA NGOME YA ACT TANGA, AVUNA WANACHAMA 272 WA UPINZANI
Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. |

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Bi. Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni za CCM timu ya mgombea mweza iliyofanyika mkoani Tanga jana. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA |
Comments