Wednesday, September 16, 2015

MAMA SAMIA MTAMA NA RUANGWA

1
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, katika eneola Nyangao, jimbola Mtama mkoani Lindi.
Picha zote na Bashir Nkoromo
2
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan akijadili jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Mtama, Katiu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, wakati wa mkutani wa Kampeni uliofanyika jana Septemba 15, 2015 katika eneo la Nyangao, jimoni humo mkoani Lindi.
3
Baadhi ya waliooomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge jimbo la Mtama pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye (wapili kushoto), wakiwa na Nape jukwaani kuhibitisha kufuta makundi yao na kuwa timu moja ya kusaka ushindi wa CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimboni humo mkoani Lindi leo. anayezungumza ni Janeth Mayanja na wengine kutoka kulia ni Ismail Mbani na Maliki Maliki.
4
Mgombea wa Ubunge jimbo la Mtama, Ktibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi katika mkutano wa Kampeni uliofayika jana, Septemba 15, 2015 katika jimbo hilo mkoai Lindi.
8
Mgombea Ubunge jimbo la Ruangwa kwa tiketi ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jana Septemba 15, 2015 katika jimbo hilo mkoani Lindi.
10
Mjumbe wa NEC wilaya ya Nachingwea, Fadhili Liwaka, akihutubia mkutano wa Kampeni, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Septemba 15, 2015 katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi.
9
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, 2015 katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi.
7
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa CUF, Tabia Athumani baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Jana Septemba 15, 2015 katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi.
5
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya ccm, Mama samia Suluhu Hassan akimnadi Mgomea Ubunge jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye na wagombea Udiwani katika jimbo hilo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofayika jana, Septemba 15, katika jimbo hilo, mkoani Lindi.
6 
Msanii wa Bongo Movie, Snura akiimba wimbo maalum wa kukifagilia Chama Cha Mapinduzi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, 2015 katika jimbo la Mtama, mkoani Lindi.
    11
Aliyekuwa ameomba kugombea Ubunge jimbo la Nkenge na kukosa nafasi hiyo, Asupta Mshama akiteta jambo na Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, 2015 katika jimbo la Ruangwa mkoan Lindi.
12
Wananchi wakiwa wameuzuia msafara waMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wkati akienda jimbo la Mtama kuhutubia  mkutano wa kampeni uliofanyika jana Septemba  15, 2015 katika jimbo hilo mkoani Lindi.
Post a Comment