Monday, September 21, 2015

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei (kulia).

No comments:

RUZUKU YA SH.MILIONI 250 YATOLEWA KWA WABUNIFU WA MATUMIZI BORA YA NISHATI

📌 Kamishna wa Umeme asema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana wabunifu katika teknolojia ya matumizi bora ya nishati 📌 Wabunifu wa kike...