Tuesday, September 15, 2015

WANANCHI WA KIJIJI CHA KISUMBA MKOA WA RUKWA WAZUIA MSAFARA WA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA

 Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa jana.
(Picha na Francis Dande)
  Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie katika kijiji cha Kisumba.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho. 
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho. 
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitiaChadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho. 

No comments:

Uwanja wa Ndege wa Kisasa Mikumi Kukamilika Novemba

Na Mwandishi Wetu, Morogoro  Katika kufungua miundombinu zaidi ya utalii nchini, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu ...