Tuesday, September 29, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM UWANJA WA GARAGARA JIMBO LA MTOPEPO

8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mtopepo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea katika uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja Septemba 28, 2015
Picha zote na Ikulu.
2
Mke wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Kwanza Mama Fatma Karume akiwaombea kura wagombea wa nafasi za Uongozi kupitia chama cha Mapinduzi alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanaCCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM katika Uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
3
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban alipokuwa akiwaombea kura Wagombea nafasi za Uongozi katika Chama cha Mapinduzi CCM  wakati wa Uchaguzi Mkuu ukifika,jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja CCM Yussuf Mohamed Yussuf wakati wa Mkutano wa hadhara kampeni za CCM jimbo la Mtopepo   katika uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
4
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakisikiliza sera zilizokuwa zikitolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
56
WanaCCM na Wapenzi wa Chama hicho wakinyoosha  mikono juu kumuuunga kama ishara ya kuwachagua wagombea wa CCM wakati  Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein   jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja.
7
WanaCCM na Wapenzi wa Chama hicho wakisikiliza sera zilizokuwa zikitolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  Jimbo la Mtopepo leo katika mkutano wa kampeni zinazoendelea,uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja
Post a Comment