Thursday, September 17, 2015

WENGI WAJITOKEZA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE SOKO LA TEMEKE STERIO DAR ES SALAAM

 Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo  upo chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi ‘Acha Lugha Chafu na Udhalilishaji Sokoni’ Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG). 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Matumbi uliopo katika wilaya ya Temeke, Khatibu Lindi, akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio, Hamad Juma Mtemi, akizungumza katika mkutano huo.
Ofisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Temeke, Agnes Soso, akizungumza katika uzinduzi huo.
Ofisa Ufuatiliaji na Tathimini wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Samora Julius (kulia), akitoa mada mbalimbali kuhusu ukatili wa jinsia masokoni wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mradi wa EfG, Susan Sitta, akielezea historia fupi ya shirika hilo.

No comments:

RUZUKU YA SH.MILIONI 250 YATOLEWA KWA WABUNIFU WA MATUMIZI BORA YA NISHATI

📌 Kamishna wa Umeme asema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana wabunifu katika teknolojia ya matumizi bora ya nishati 📌 Wabunifu wa kike...