Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 70 cha Baraza kuu la Umoja wa mataifa katika ukumbi wa Makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani leo mchana.
(Picha na Freddy Maro)
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Katika kufungua miundombinu zaidi ya utalii nchini, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu ...
No comments:
Post a Comment