Monday, September 21, 2015

NAIBU WAZIRI WA NYUMBA KAIRUKI ATEMBELEA GEREJI TEGETA

 . Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.
 Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.
 Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta.
 Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta wakimsikiliza Mhe. Angela Kairuki.

WAZIRI MKUU: SERIKALI YAENDELEA KUHAKIKISHA MAFUTA HAYAADIMIKI NCHINI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha upatikanaji wa mafuta nchini unaendelea ...