Friday, September 11, 2015

MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga, akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi kabla Kaimu Katibu Mkuu hajaongea na waandishi wa habari pamoja na wadau kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa kuongeza muda malipo ya kibenki kupitia mfumo wa TISS.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire (wa tatu kutoka kushoto), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) na wadau mbalimbali, kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa kuongeza muda malipo ya kibenki kupitia mfumo wa TISS.
 Wadau mbalimbali wa Bandari ya Dar es Salaam na waandishi wa habari wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw Gabriel Migire (hayupo pichani) wakati akieleza mafanikio yaliyopatikana kwa kuongeza muda malipo ya kibenki kupitia mfumo wa TISS, leo asubuhi katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA).

 MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)  YAANI ‘TANZANIA INTER-BANK SETTLEMENT SYSTEM’ (TISS) WAONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM

No comments: