Thursday, September 10, 2015

LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR

1
Mgombe Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamadi akipiga makofi kuashiria Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi katika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
2
Muimbaji Abdallah Issa akitumbuiza katika uzinduzi wa Kapeni uliofanyika Kibanda Maiti Zanzibar.
3
Sehem ya Meza Kuu.
4
Badhi ya wananchi wakifuatilia Mkutano huo.
6
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema Mhe. Edward Lowasa akiwasalimia Wazanzibari na kuomba kura zao katika uzindizi wa kampeni uliofanyika viwanja vya kibanda maiti Mjini Zanzibar.
8
Mgombe Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif akiwahutubia wananchi waliofanyika kwenye uzindu wa kampeni.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF – Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim, wakati akiwasili katika Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF – Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwapungia wananchi wa Zanzibar (hawapo pichani) walioshiriki Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF – Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF – Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Urais wa Ukawa wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CUF, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Wakubwa wakiteta jambo.
Wimbo maalum wa Chama cha Wananchi CUF ukipigwa.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wazanzibar.
Post a Comment