Thursday, September 10, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

12
Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015.
PICHA ZOTE  NA IKULU
3
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akisaini kitabu cha wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015
45
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli akiwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015.
6
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam janaSeptemba 9, 2015.
7
Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akisanini kitabu cha wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015.
89
 Balozi mpya wa  Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akiwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015.
  12
Balozi mpya wa  Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp na ujumbe wake akizungumza na Rais Kikwete baada ya kuwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015
11
Balozi mpya wa  Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Kikwete baada ya kuwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015

No comments: