Friday, September 04, 2015

DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM

1
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kwenye Ukumbi wa Karemjee kuzungumza na Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi CCM.
2
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe hao. Dkt. Magufuli amewaomba wajumbe hao kufanya kazi kwa uadilifu na kuihubiri Amani ya nchi yetu ili maendeleo bora yaweze kupatikana.
5
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Abdalah Majura akizungumza katika mkutano huo.
3
Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi Taifa wakimshangilia Mgombea wa CCM-Dkt. John Magufuli.
4 
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Ushindi Adam Malima.
6
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe hao.
Post a Comment