Friday, September 04, 2015

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini,  Jasem Ibrahim Al-Najem  kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.  
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem  (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.  Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

TUZINGATIE UTU, SHERIA NA HAKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA ULINZI WA RASILIMALI ZA TAIFA- DKT KIJAJI

  Na. Joyce Ndunguru, Morogoro. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa W...