Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale (katikati), Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe (kulia) na Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye (kushoto) wakionyesha vipeperushi kuashiria uzinduzi rasmi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya NBC ikiwa ni moja ya matukio yatakatokwenda sambamba na maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja wa NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Zawadi zote katika promosheni hiyo zitagharimu zaidi ya shs milioni 300.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Andrew Massawe (kulia), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya NBC ikiwa ni moja ya matukio yatakatokwenda sambamba na maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja wa NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Zawadi kubwa ni gari jipya aina ya Suzuki Swift toleo la mwaka 2013. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale na kushoto ni Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale (katikati), akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye.
Meneja katika kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa cha NBC, Dorothea Mabonye (kushoto) akitoa ufafanuzi jinsi ya uendeshaji wa promosheni ya Weka Upewe wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Dkt. Samia Awasili Addis Ababa Kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa AU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Bole, Jij...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. . Picha na Jube Tranqu...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
No comments:
Post a Comment