Thursday, October 10, 2013

Vyama vya siasa vya upinzani vyaahirisha maandamano ambayo yalitakiwa kufanyika Leo nchi Nzima



Mwenyekiti wa chama cha CUF Prof Ibrahimu Lipumba,akitoa tamko la umoja wa vyama vya upinzani la kusitisha maandamano ya nchi nzima yaliyopangwa kufanyika mwezi huu,ambapo wana mpango wa kwenda Ikulu kujadiliana na Rais Jakaya Kikwete mambo yanayohusu mchakato wa Katiba mpya,kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia(kulia).Picha na Michael Jamson

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...