Wednesday, October 09, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Aagana na Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya marimba Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya kinyago cha faru Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

MSAJILI HAZINA ASHIRIKI UZINDUZI UJENZI MGODI WA MADINI KINYWE

  Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madi...