Wednesday, October 09, 2013

Ujumbe wa Tanzania katika maandalizi ya mikutano na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa

















Ujumbe wa Tanzania katika majadiliano, kutoka kushoto 
ni Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Mwanaidi Mtanda, 
Kamishna Idara ya Sera Bw. Beda Shallanda, Mkurugenzi 
wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe 
na Bw. Said Magonya Kamishna wa Fedha za Nje akielezea jambo.
















Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Yusuph Mzee kulia, 
akisoma kwa makini taarifa zitakazowasiliswa katika 
mikutano hiyo mbele ya ujumbe kutoka Tanzania.













Toka shoto ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa,
Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata 
Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius 
Likwelile, Mkurugenzi wa Idara ya kupunguza Umasikini 
MKUKUTA Bi. Anna Mwasha pamoja na Kamishna Mkuu 
wa TRA Bw. Harry Kitilya  wakisikiliza kwa makini.
















Ujumbe wa Tanzania wakisikiliza kwa makini hoja
 zinazotolewa na Waziri wa Fedha hayupo pichani 
ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho.













 Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya 
Mipango Dr. Philip Mpango, Naibu Gavana wa BOT Bi.
Natu Mwamba na Mchumi wa Benki Kuu Bi. Sauda Msemo  
wakisikiliza kwa makini.
















Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa (kushoto), 
Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata 
Mulamula wakimsikiliza  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
 Dkt. Silvacius Likwelile akitoa ufafanuzi.













 Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akiwa katika
majadiliano na ujumbe wa Tanzania kuhusu maandalizi ya
 mikutano na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa.













 Kutoka kushoto ni Kamishna wa Idara ya Sera Bw. Beda 
Shallanda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utafiti na 
Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe.
















Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata 
Mulamula akimsikiliza kwa makini Afisa Mwambata 
anayeratibu masuala ya Uchumi, Biashara, na Uwezeshaji 
ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Bw. 
Paul Mwafongo
Picha zote na Bi. Eva Valerian – Washington DC

No comments: