Friday, October 25, 2013

Vijana wa Tabora Boys enzi hizo

Kuanzia kushoto Luwaga Kizoka, Daudi Masoli, Chief wa Girls (Colleta Rulegula), Lulu Shangali, Yahya Charahani, Danny Lyimo na Mzee Gombozz katika mojawapo ya hafla za Shule ya sekondari ya wavulana Tabora
 Mzee Gombo akiwa na kikosi chake wakirejea bwenini Sina baada ya kupata chakula
Saafu ya Mbele Chief Maziko Reuben  Charles Tongoli , Mzee Gombozz, Danny Lyimo , James Kapaya katika mojawapo ya matukio kwenye bwalo la chakula la shule ya Tabora Boys. PICHA KWA HISANI YA MZEE GOMBO.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...