Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika eneo la Kabuku, mkoani Tanga.
Lori la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo. Picha na Francis Dande
Comments