UTUMISHI WAPONGEZWA KUWA MSHINDI WA PILI SHIMIWI Posted by Vempin Media Tanzania on October 19, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Watumishi na Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) wakati wa hafla fupi ya kuipongeza timu ya mpira wa Pete ya Utumishi iliyofanyika ofisini hapo jana Mwenyekiti wa Klabu ya michezo ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Lumuli Mtaki akisoma ripoti kuhusu klabu yake ya Utumishi wakati wa hafla fupi ya ya kuipongeza timu ya mpira wa Pete ya Utumishi iliyofanyika ofisini hapo jana Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akiongea ofisini kwake katika hafla fupi ya kuipongeza timu ya mpira wa Pete ya Utumishi jana Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akiongea ofisini kwake katika hafla fupi ya kuipongeza timu ya mpira wa Pete ya Utumishi mapema jana Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Mpira wa Pete ya Utumishi mara baada ya hafla fupi ya ya kuipongeza timu hiyo iliyofanyika ofisini kwake jana.Wengine mstari mbele ni Kapteni wa timu hiyo Bi.Elizabeth Fussi (mwenye kikombe), Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu , na kushoto kabisa ni Mwalimu wa timu Bw Mathew Kambona na Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto kwake). Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani akikabidhiwa kikombe na Kapteni wa Mpira wa Timu ya Mpira wa Pete ya Utumishi baada ya hafla fupi ya kuipongeza timu hiyo iliyofanyika ofisini jana.Wengine ni Katibu Mkuu Utumishi Bw.George Yambesi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) wakishuhudia tukio hilo. Watumishi na Viongozi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) wakati wa hafla fupi ya kuipongeza timu ya mpira wa Pete ya Utumishi iliyofanyika ofisini hapo jana Comments
Comments