Monday, October 07, 2013

NHC yatoa msaada wa madawati 70 shule ya msingi Mtejeta Mpwapwa


Mwenyekiti wa Shule ya Mazoezi Mtejeta, Jacob Luhunga (kulia) akikabidhiwa mojawapo ya madawati kati ya madawati 70 yaliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa shule hiyo mwishoni mwa wiki (Septemba 26). Madawati hayo yalikabidhiwa na Meneja Huduma kwa Jamii wa NHC Muungano Saguya, kushoto. (PICHA KWA HISANI YA NHC)

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...