RAIS KIKWETE NA MKEWE WAMPA MKONO WA EID EL HAJJ MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimtakia  heri ya Sikukuu ya EID Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, Nyumbani kwake, Kurasini jijini Dar es Salaam jana. (picha na Freddy Maro)

Comments