Mchungaji Peter Msigwa na Wafuasi na Wapenzi Mbalimbali wa Chadema Walivyompokea Kwa Shangwe Rais Kikwete Mkoani Iringa

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini-Chadema  Mhe Msigwa katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa  juzi kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Sehemu ya Vijana na Wapenzi wa Chadema Mkoani Iringa Waliyojitokeza Uwanja wa Ndege wa Nduli Mjini Iringa Kumpokea Rais Jakaya Kikwete aliyetua jana  kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Picha na IKULU

Comments